Tunatoa huduma za afya ya uzazi kwa wanawake kupitia mtandao wetu wa kliniki, timu za ufikiaji, na washirika wa masoko ya kijamii tunaowaamini.
Huduma zetu






Tutembelee
Tunatoa Huduma za Afya Kwa Wanawake na Uzazi wa mpango kupitia Kliniki zetu 6 na Hospitali moja ya uzazi kote Nchini

Maoni ya Wateja Wetu
Bima Tunazopokea
Tunafanya kazi kwa ushirikiano na makampuni mbalimbali ya Bima ya afya ili kutoa huduma bora za afya.

Tupo kwa ajili yako tangu 1989
Tunafahamika na kuaminika kwa kutoa huduma za Afya ya uzazi na Uzazi Salama kwa wanawake na wanaume kupitia mtandao wetu uliosambaa nchini kote Tanzania

Kuchagua njia sahihi ya uzazi wa mpango kwa ajili yako
Kupata njia sahihi ya uzazi wa mpango kwa ajili yako kunamaanisha kuweza kufurahia tendo la ndoa bila kuwa na wasiwasi wa mimba zisizotarajiwa. Jifunze ni njia gani inayoweza kuwa bora kwa mtindo wako wa maisha.
Soma zaidi
Nina maambukizi ya zinaa?
Una wasiwasi kuwa umeambukizwa ugonjwa wa zinaa? Habari njema ni kwamba wengi wao wanaweza kutibika, hasa ukiwagundua mapema.
Soma zaidi
Ninaweza kupata ujauzito wenye afya njema vipi?
Kuanzia kwa vipimo vya afya katika kliniki hadi kupanga kuzaliwa kwa mtoto wako, huduma sahihi ya kabla ya kuzaa itakusaidia kuwa na ujauzito salama na wenye afya.
Soma zaidiWeka miadi
Tutumie Ujumbe wa WhatsApp leo au tutumie barua pepe kupanga miadi.










